Naomba updates ya ahadi za Waziri kuhusu bei za vifurushi vya mitandao ya simu

Al-shabaab

JF-Expert Member
Aug 24, 2013
1,791
617
Habari wana jf,

Waziri wa mawasiliano na TEHAMA alitoa ahadi tarehe28/02/2021 atakuja 'na majibu ya bei zake mwenye updates za waziri atupe maana tunazidi kuisoma namba.
 
Habari wana jf
Waziri wa mawasiliano na TEHAMA alitoa ahadi tarehe28/02/2021 atakuja 'na majibu ya bei zake mwenye updates za waziri atupe maana tunazidi kuisoma namba
Boss wake ni kati ya wamiliki wa mitandao, hawezi kufanya chochote analinda kibarua chake
 
Kodi na faini wanazopigwa zinarudi kwa wateja. Usipoangalia waziri anaweza kutoa tamko ambalo linaweza kupaisha zaidi bei kama ilivyokuwa sukari, nauli za ndege na mafuta ya kula
Ndio kawaida SASA HIVI tumepigwa PINI ya hatari
 
Kwani huyu waziri ni mwanachama wa chama gani?

Kama ni kile basi mjue mlilishwa tango pori.

Endeleeni kuisoma namba
Jamani vya bure na vya kutishana hakuna tena.Haya makampuni ya simu yamewekeza mamilioni ya dola na sio pesa zetu za madafu.walibambikwa makodi kibao.Tumezoea vya bure.Makampuni ya simu msibabaishwe endeleeni kutupa huduma kwani mnafanya biashara,asiyeweza Lwake,Tuleteeni 5G kwani ina spidi sana.
 
Habari wana jf,

Waziri wa mawasiliano na TEHAMA alitoa ahadi tarehe28/02/2021 atakuja 'na majibu ya bei zake mwenye updates za waziri atupe maana tunazidi kuisoma namba.
Nadhani umepata muongozo mkuu.

Cc: Smata na Mahandazi.
 
Back
Top Bottom