Naomba unlocking code zamodem aina ya HUAWEI

enzihuru

Member
Aug 6, 2012
82
10
Naomba wana JF mnipe unloking code za modem ya HUAWEI , model 1550 IMEI yake ni 352 965 043 440 013.Asante sana.
 
Mzee wataalam wanasema hiyo ya voda inatakiwa utumie dashboard ya mtandao tofauti na voda yaani fanya installation ya modem ya mtandao tofauti kisha tumia hiyo voda yako.
 
mkuu hebu nipe step by step how to do it ili niichezee sasa hivi
 
uninstall hiyo software ya voda iNstall software ya zain au yoyote kisha uKonnect hiyo modem ya voda uanze kutumia. Sijaprove ila ndivyo
 
mkuu mimi nina modem ya vodacom, naomba unipe step by step jinsi ya kuichakachua ili niweze kutumia na line zingne.

IMEI 866452012483141
S/N E9PBYA9290803170
siyo matoleo yote ya voda suluisho ni dash board mpya coz voda wana model nyingi tofauti na process pia huwa tofauti.
lngawa wadau wamemwaga maufundi kitambo watu bado wanahaha tu.
ok kukusaidia weka model yako tujue kama zte au Huawei
 
kama ni huawei E173 basi tafuta master unlock code calculator ili ikupe unlock code ndio utumie na kama ni E303 hizi mpya mpaka sasa sijaona aliyefanikiwa akaleta feedback zaidi wanakuambia uiupdate firmware lakini haiwezifanya kitu...
 
Mi muda si mrefu nilikuwa nahangaika na ZTE K3565-Z kwa kutumia Unlocker yake lakini ninakwenda mpaka mahali ninakwama.Nimehangaika weee.. lakini mwisho nimeprove failure nimeamua kuachana nayo.
 
siyo matoleo yote ya voda suluisho ni dash board mpya coz voda wana model nyingi tofauti na process pia huwa tofauti.
lngawa wadau wamemwaga maufundi kitambo watu bado wanahaha tu.
ok kukusaidia weka model yako tujue kama zte au Huawei

ni huawei
 
kama ni huawei E173 basi tafuta master unlock code calculator ili ikupe unlock code ndio utumie na kama ni E303 hizi mpya mpaka sasa sijaona aliyefanikiwa akaleta feedback zaidi wanakuambia uiupdate firmware lakini haiwezifanya kitu...

mkuu e303 inakubali ku update firmware na unatumia line zote mi nime unlock yangu
 
Vipi hiyo iliyonisha hapo juu?
Yaani ZTE K3565-Z Unasemaje mkuu?

hii si kama ya voda? Myself sjawahi itumia lakini kama kuna modem ina tutorial nyingi za ku unlock ni hii

Kuchange dashboard ndo maarufu zaidi kwa kubadili dashboard yake na kueka nyengine.

Ushajaribu kwa dccrap ikakataa?
 
Ni kweli hii kitu ni ya Voda,tena zile za mwanzo kabisa. Kuna kasoftware fulani hivi ambako nimekuwa nikitumia ku unlock Huwei,ingawa kanakuwa kanataka kuchagua model kisha unabofya kwenye Unlock,kazi inaisha. Lakini hapa kamedunda. Sijatumia hiyo DC-****,may be nijaribu tena.
 
ninayo dc unlocker toleo la zamani kidogo ina uwezo wakuibandua hiyo ZTE K3565-Z hata 3570 kama wataka nikuuplodie faster
 
kama ni huawei E173 basi tafuta master unlock code calculator ili ikupe unlock code ndio utumie na kama ni E303 hizi mpya mpaka sasa sijaona aliyefanikiwa akaleta feedback zaidi wanakuambia uiupdate firmware lakini haiwezifanya kitu...
attachment.php

e303 inachakachuka kirahisi tu kaka sema memba wengi wazito kutoa mrejesho.
cha muhimu andika flash code ya modem yako pembeni then unaupgrade ikifika sehemu utatakiwa uingize hizo code mchezo kwishney.
ebu kamata uzi wa Kimox Kimokole hapo chini ujifanyie mwenyewe.....ni 100% unlocked

https://www.jamiiforums.com/tech-ga...um/303310-finally-huawei-e303-unlocked-2.html
 
Attachments

  • Huawei-E303__85313_zoom.jpg
    Huawei-E303__85313_zoom.jpg
    7 KB · Views: 312
Back
Top Bottom