Mmwaminifu
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 1,129
- 302
Heshima zenu wakuu. Hope mko po. Kuna kawimbo fulani nausaka sasa nimesahau jina la aliyeimba. Some lines in it zinasema "naomba unisamehe, kosa nililofanya. Hakika mi binadamu, kokosea nimeumbiwa". Anayefahamu anitajie walau jina la mwimbaji. Sorry kama nimeweka ktk jukwaa tofauti. Thanks in advance wakuu.