Naomba ufahamu kuhusu procedure za Commission for Mediatio and Arbitration-CMA

quimby_joey

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
390
164
Naomba wadau mnifahamishe procedure inasemaje kwa mtu ambaye amechelewa ku-file complaint CMA, je condonation na form no. 1 zinakuwa filed kwa pamoja?
 
zinakuwa filed pamoja lakini application ya condonation ndio itakayoanza kusikilizwa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom