Naomba Ufafanuzi wa Muswaada wa Sheria ya Msaada wa Kisheria 2016!

Yohana Kilimba

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
8,108
5,626
Wakuu,Serikali Ishaupeleka Bungeni Muswaada wa Sheria ya Msaada wa Kisheria 2016-(Legal Aid Bill of 2016) na Kusomwa kwa Mara ya Kwanza!
Muswaada Utawatambua Watoa Msaada wa Kisheria,Hasa Watakao Toa Elimu kwa Watu Waliombali na Huduma Za Kisheria!
Naomba Mwenye Huo Muswaada Aupaste Hapa in Text Form,ili Wadau Wauchangie!
Na Pia Tujuzane Ho Watoa Msaada Watatambulika Vipi na Serikali na Masilahi Yao Yatakuwaje?
 
Ninao ila napata ugumu kuutuma, in text form inakuwaje nipe ujuzi!
 
Jamani msaada leo mahakama imesema tupate tafsiri ya neno place of work
 
Back
Top Bottom