Habari zenu wanajukwaa. Binafsi nina ugonjwa wa kudumu(Pumu) na nahitaji chanjo. Naomba kujua hili kuhusu chanjo ya Corona kwangu mimi na ambaye hana Puma.
Je, nikipata chanjo bado nitaambukizwa corona? Kama ndiyo, je niliyepata chanjo na ambaye hajachanja tofauti yetu ni nini?. Msaada hapa please