Naomba ufafanuzi wa makato ya PAYE katika kiwango hiki cha mshahara

Tprecious

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
224
296
Naomba wadau mnijuze Mimi npo daraja E napokea basic salary 940000 je asilimia hiyo moja iliyopunguzwa na Mheshimiwa Rais ni kama shilingi ngapi ambayo ntakuta ongezeko katika mshahara wa mwezi huu?
 
Unakatwa NSSF asilimia ngapi
 
Back
Top Bottom