NAOMBA UFAFANUZI WA HII COURSE "AGRICULTURE AND NATURAL RESOURCES ECONOMICS AND BUSNESS

isaacsendama

Member
Feb 21, 2016
76
95
Kwema jamen,naomba ufafnuz wa hyo program juu ,mm ni mhitim wa kdto cha sita kwa mchepuo wa HGE ,hvyo ningependa kujua ukisomea hyo program unaweza ukafnya kazi gani zaid zinazohusiana na hyo program?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom