Naomba ufafanuzi taasisi ya elimu (Chuo) kutoa gawio kwa Serikali

Wewe huelewi chochote, au unadhani Serikali inaendeshwa mithili ya familia yako? Matengenezo yote unayoyaongelea katika Taasisi za umma yana bajeti yake, Mtu hawezi kukurupuka tu na kutumia fedha kwa tatizo ambalo hazikuelekezwa kwake. Muda mwingine tuwe tunatumia akili kidogo tu kufikiri, maana inawezekana nyie ndo future leaders wa nchi hii, lakini msipojielimisha mambo haya madogo mnakuwa janga la Taifa.
Sijui unaishi nchi gani. Nina uhakika sio Tanzania. Na kama upo Tanzania, basi unadhani kuendesha a proper higher learning institution ni sawa na sekondari kata.
I am wasting my time kujadili nawe.
 
Nchi masikini hata wasomi wanafikiri kimasikin Kama hawana Elimu baada ya kuongeza tafiti za kutosha na kuongeza wigo wa vijana kupata Elimu na kuongeza matawi maeneo mengi tunazungumzia kupata faida kwa Serikali wacha tuendelee kuwa Nchi masikini na wajinga...
 
Ushamba tuu wa wasomi au unafiki
Nchi masikini hata wasomi wanafikiri kimasikin Kama hawana Elimu baada ya kuongeza tafiti za kutosha na kuongeza wigo wa vijana kupata Elimu na kuongeza matawi maeneo mengi tunazungumzia kupata faida kwa Serikali wacha tuendelee kuwa Nchi masikini na wajinga...
 
Saa zingine tumia akili usijifanye mjuaji.
Wametoa Bilioni 2 na point je maana yake walioulizia vitambulisho ni watu milioni 20?
Mkuu wewe ndiyo kanjanja. Unaelewa vyanzo vyote vya mapato vya Nida?

Hao wamekupa mwanga, kukufungua uelewe namna taasisi kama hiyo inavyoweza kupata vyanzo vya mapato na kisha kutoa gawio. Waulila?
 
Siasa zitatupeleka pabaya. Hata taasisi zisizofanya biashara pia zinatoa gawio.

Nchi masikini hua haziendelei kwa sababu nyingi sana. Wenzetu hizi drama hua hazipo.
Kwa kuvaa miwani ya mbao, kwa kutojua au kwa makusudi, hauwezi kuona vyanzo vya mapato vya taasisi hizo.

Magu juzi kafunguka vizuri tu....'tena wengine mnalipwa mishahara na serikali, magari mnanunua mpo tu nk nk'....

Maana yake hapo ni kwamba kuna taasisi 'zinalishwa' kila kitu na serikali na wanakusanya mapato, kwanini wasitoe gawio?

Wewe mtu usiyehusika na taasisi hizo, huruma ya utetezi unaitoa wapi?

Au huenda hapa tunajadiliana na staff mmoja wapo wa hayo mashirika mtaka huruma ya umma, kisha 'anatung'ong'a visogo'?
 
Hata mm ningekua mkuu wa chuo ningetoa gawio hata kama wanafunzi watakaa chini ili niokoe kibarua changu, ushasikia wasiotoa gawio baada ya siku 60 bodi zivunjwe
Hivi Rais anaweza akazungumza jambo asilolielewa kiuonevu kama layman?

Mwenye nchi keshagundua janja ya nyani siku nyingi.

Gawio litapelekwa na mambo yataenda kama kawaida.

Nyie acheni bhana.
 
Wametoa bil 2 wakaomba Tril 1. Hahahaa hii kiboko.
Usicheke wala kushangaa, huo ndio mfumo wa serikali.
Chukulia mfano wa shule ama chuo, mahitaji yao hayawezi kumalizwa na ada watozazo wanafunzi.
Kwahiyo hapo, serikali inapeleka mahitaji ya shule na shule inawailisha makusanyo yao serikalini, period
 
Sijui unaishi nchi gani. Nina uhakika sio Tanzania. Na kama upo Tanzania, basi unadhani kuendesha a proper higher learning institution ni sawa na sekondari kata.
I am wasting my time kujadili nawe.

Wewe kweli naona siyo level zangu kabisa in terms of understanding things in a wider perspective. Unazungumzia usawa in terms of what? Nenda kajielimshe jinsi the so-called "Government's Consolidated Fund" inavyofanya kazi ndo uone unachokiongea kinasadifu hoja yako. Kajielielimishe ni wapi fedha zinazolipiwa kwa Control Numbers zinaingia; kuanzia applications fees hadi ada ya chuo ndio uone ujinga wako unalala wapi.

In terms of management approaches, kuendesha sekondari kunaweza kukafanana na chuo kabisa. Though kuna vitu ambavyo either of the two hatakuwa navyo ambavyo mwingine atakuwa navyo. Acha ushamba mdogo wangu
 
Nina uhakika wewe ni kijana mdogo.
Issues za consolidated fund zinatoka wapi?

Things are more clear now. Just imagine hata loss making parastatals za biashara nazo zinatoa dividend.

Only in Tanzania can a government owned higher learning institution provide ca dividend to the same government. Dividend from what business? Only God knows!
 
Ndio maana nikasema huelewi kitu. Waulize wanaoendesha vyuo hivyo malipo yanaingia katika mfuko gani. Any way I won't waste my time anymore kujadili hii issue na wewe unayejitia mwelewa hata kwa mambo usiyoyajua. Kama hujui Consolidated Fund inaingia vipi hapa, basi ni dhahiri unaendeshwa na hearsay na hisia badala ya uhalisia wa mambo.
 
Back
Top Bottom