Naomba ufafanuzi kwa mwenye taarifa kamili suala la GPA 3.8 kwenye ajira

Eyes_blogger

Senior Member
Nov 30, 2016
115
81
Naomba kuuliza nimesikia kua ajira za mwaka 2016-2017 lazimq uwe na gpa ya 3.8 sawa kama ni kweli naomba ufafanuzi kwa mwenye taarifa kamili na kwa wale wenzangu na mimi ulipewa mkopo na hukufikisha gpa iyo so hautapata ajira?

Na huu utaratibu umeanza sasa hivi kwa waliomaliza hapo nyuma si utawaathiri wengi au anyway naomba ufafanuz ili nami nielewe. Naomba kuwasilisha
 
Naomba kuuliza nimesikia kua ajira za mwaka 2016-2017 lazimq uwe na gpa ya 3.8 sawa kama ni kweli naomba ufafanuzi kwa mwenye taarifa kamili na kwa wale wenzangu na mimi ulipewa mkopo na hukufikisha gpa iyo so hautapata ajira? Na huu utaratibu umeanza saiz kwa walio maliza hapo nyuma si utawaathiri wengi au anyway naomba ufafanuz ili nami nielewe. Naomba kuwasilisha
Hivi nyi vijana wa sikuhizi mbona mnakuwa hamna akili hivi..umesikia kwa nani???
 
Hizo ni sababu tu, bora waseme tutaajiri wachache. Matokeo halisi yako kidato cha sita na cha nne ndio maana tunapata Tanzania one kutokea huko, jinsi mfumo wa chuo ulivyo, GPA hupikwa chuoni hivyo si ajabu chuo kitakachotoa graduates wengi wenye GPA kubwa kinalegeza elimu au sababu nyingine kufanya elimu biashara.
 
Back
Top Bottom