Naomba ufafanuzi kuhusu waathirika wa Ma-Bomu Gongo la Mboto na Mbagala | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba ufafanuzi kuhusu waathirika wa Ma-Bomu Gongo la Mboto na Mbagala

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by komred, Mar 2, 2011.

 1. k

  komred Member

  #1
  Mar 2, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana Jf naomba ufafanuzi kuhusu malipo ya fidia kwa waathirika wa milipuko ya mabomu Mbagala & Gongo la Mboto, katika tukio la Mbagala wengi waliolipwa ni wenye nyumba zilizoathirika, je wapangaji kwanye nyumba mbalimbali zinazoathirika, na wenyewe huwa wanalipwa fidia? Maana nimekuwa nikiona wanaolalamika huwa wenye nyumba kuwa wamelipwa pesa kidogo nk. Je wapangaji kwenye nyumba zilizoathirika/zinazoathirika huwa wanalipwa vizuri kiasi wasiwe wanalalamika kwenye vyombo vya habari kama wenzao wenye kumiliki nyumba?

  Mimi si muathirika wala sina ndugu muathirika katika matuikio hayo ila nimekuwa nikijiuliza hilo swali muda mrefu
   
Loading...