Naomba ufafanuzi kuhusu ulaji wa mafuta wa Toyota IST

baby v

Member
Jul 30, 2015
40
21
habari za jioni wapendwa,

Hivi karibuni nimenunua gari Toyota IST CC1490 ya 2004. Full tank ni litre 38. Naweza kutembelea full tank km 360 full Ac. ni sawa au hapa hichi ni kimeo.

Ushauri Wakuu
 
habari za jion wapendwa

hivi karibuni nimenunua gar Toyota IST CC1490 ya 2004. Full tank ni litre 38. naweza kutembelea full tank km 360 full Ac. ni sawa au hapa hichi nikimeo.
ushauri wakuu
1. Kama ni town trip, inaweza kuwa sawa
2.Long trip kama uendeshaji ni mzuri inakupa zaidi ya km 15/L
3.Check/wakukagulie vitu kama plug, air cleaner, upepo wa tairi, sensors, oil ulibadilisha kama sio reccomended...vyote hivyo vinaweza fanya ulaji wa mafuta kuwa mbaya..kumbuka hizi gari ni used,vitu vingine huwa vimeishachoka
4.Full tank likiwa empyt kbs ni 45L
5. Kila la kheri
 
Asante hizo ni town trip job to hme like 10km kwenda so nakurud jumla 20.OIL nimeweka recommended kabisa nilinunua 5 litre 100,000.sema will change pia na uendeshaji kidogo
 
Back
Top Bottom