Naomba ufafanuzi kuhusu tabia na mwenendo huu wa binadamu

kanonb

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2016
Messages
355
Points
500

kanonb

JF-Expert Member
Joined Dec 13, 2016
355 500
Habari wakuu,

Ni matumaini yangu kwamba mpo wazima na wenye changamoto za maisha Mungu anazidi kutusaidia tusikate tamaa (keep going). Sasa jamani nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu hivi kuna watu hupenda kutembea katika makundi (in groups) yaani hata kama ukimkuta mtu huyo angalau wawe wawili wanatembea lakini kuna watu wengine hupenda kutembea peke yao, yaani watu hao hawawezi kutembea katika makundi yaani utamkuta mtu muda wote yupo peke yake anatembea peke yake na akitembea na kundi la watu huwa ajisikii vizuri anapenda tu kuwa mwenyewe kwanini wajuzi wa mambo saidieni jamani
 

Forum statistics

Threads 1,380,253
Members 525,695
Posts 33,767,791
Top