Naomba ufafanuzi kuhusu mikataba ya Serikali

Nyakabindione

Member
Jan 5, 2015
7
45
Habari za leo wataalamu wa sheria. Kabla sijaandika swali langu, naomba niweke wazi kabisa kwamba mimi si mjuvi wa mambo haya ya sheria. Lakini kama rais mwema, napenda sana kujifunza maswala mbalimbali ya kisheria.

Swali langu ni: Je, mikataba ya serikali (yaani serikali inapoingia mkataba labda wa ujenzi wa project fulani) ni public document?
 

the glassroof

JF-Expert Member
Apr 25, 2017
260
500
Nafikiri inapaswa kuwa public document, issue yoyote inayohusu raslimali za taifa inabidi iwe disclosed.

Nje na hapo kuna jambo linalonufaisha watu binafsi. Naona serikali zote zilizopita zimeficha sana suala la mikataba, najua hata hii iliyopo itaingia tu kwenye mkumbo huo huo.

Lakini wajue kila kitu kina mwisho wake, ni suala la muda tu hata kama ni miaka mia baadae!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom