Naomba ufafanuzi kuhusu matumizi ya maziwa ya madanga

1. Nitajuaje kuwa maziwa yamekuwa safi tayari kunywewa na binadamu kwa ngombe aliyezaa?

2. Yana athali gani binadamu kunywa madanga?

3. Kwanini huwa yanamwagwa ukikamua?
Huyo mfugaji wako anajifunza, hayo wenzake wanajifadhi kwa ajili ya kulishia ndama kwa kuwa ndo maziwa yenye madini yote. Hata kwa binadam hayana madhara ukiachana na rangi na harufu yake
 
Kwani wakuu nimesoma Uzi tofauti au?

Title ya Uzi inahusu maziwa ya Madanga nimekuja ghafla bin Vuu nipate maujuzi..
Kumbe kinachoongelewa ni ng'ombe
 
Back
Top Bottom