Hapana Mkuu madamLv. Kwa mara zote mbili, huyo nduguyo amepata daraja sifuri. Ili kupata daraja la nne au zaidi inampasa kufaulu kwa salama D mbili au C moja na kuendelea. Matokeo hayachanganywi kupata cheti kimoja.
Ina nafasi. Kwa ngazi ya Astashahada, hiyo ni sifa ya kudahiliwa. Mhusika aweza kuanzia ngazi hiyo na kusonga mbele. Cheti huanzia 4.33 ambayo ni D mbili au C moja tu.Mkuu na result ya 4.28 unadhani ina nafasi yoyote kwenye kuendelea na masomo au kupata cheti?
Kwahiyo mtu mwenye D 3 anaweza kusoma Astashahada , mdogo wangu kapata 4.32 , nisaidie hapo mwanasheria msomiIna nafasi. Kwa ngazi ya Astashahada, hiyo ni sifa ya kudahiliwa. Mhusika aweza kuanzia ngazi hiyo na kusonga mbele. Cheti huanzia 4.33 ambayo ni D mbili au C moja tu.
Hapo inategemea na sifa zilizoainishwa na Chuo husika na kozi ihusikayo. Lakini, yawezekana kupata udahili. Kwa uzoefu wangu, vyuo vingi huwa vinataka D tano na kuendelea.Kwahiyo mtu mwenye D 3 anaweza kusoma Astashahada , mdogo wangu kapata 4.32 , nisaidie hapo mwanasheria msomi
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaamini engine ya gari na ule umeme wake unahitaji mtu wa aina yake???sasa mtu kama huyo anasoma ili iweje mfano?kama ni wakike mpeleke ufundi cherehani, kama ni wa kiume mpeleke garage akajifunze ufundi
sasa mtu kama huyo anasoma ili iweje mfano?kama ni wakike mpeleke ufundi cherehani, kama ni wa kiume mpeleke garage akajifunze ufundi