Naomba ufafanuzi kuhusu kipara kwa wanaume na wanawake

Swahili AI

JF-Expert Member
Mar 2, 2016
6,166
46,704
Habari Wajuzi, ningependa kujuzwa haya:-

1. Hivi vipara ni kwa wanaume tu na sio wanawake?

2. Na ni kwanini?

Natanguliza shukrani

SKN_losing_hair.gif
 
Hali ya upaa ina leta shida sana, mambo haya wana yaweza wakina Prof. Lipumba, na marehemu Mchungaji Mtikila wana fuga nywele na upaa una kuwa sehemu ya fashion
 
Mafuta ya mnyonyo chief, kama kipara ndo kinaanza basi we paka tu haya mafuta na usichoke pia usivae kofia, kofia inakuza kipara kwa speed ya 5G.

Tatizo haya mafuta mazito sana, ukiwa na nywele hayapakiki vizuri.

Je unaweza kuyazimua kwa kuyachangaya na mafuta ya Habba Soda au ya Nazi yakaleta majibu mazuri?
 
Back
Top Bottom