Naomba ufafanuzi kuhusu kampuni ya Confidential

Sasa nikufundishe kitu Israel. Usipende kutukana watu. Jizuie kabisa kuwaambia watu maneno ya kuudhi au matusi hata huwaoni au hamjuani. Itakusaidia sna katika maisha yako
Wap nimetukana mkuu?maana sijaongea matusi nashukuru pia kwa ushauri wako nimeupokea kwa mikono miwili
 
Wap nimetukana mkuu?maana sijaongea matusi nashukuru pia kwa ushauri wako nimeupokea kwa mikono miwili
Mara hii umesahau kuwa uliniambia sina adabu?
Ukaniambia nina matatizo ya akili? Unamjua mtu ambae ana matatizo ya akili anaitwaje? Ulitaka unitukaneje tena zaidi ya hayo?
 
Back
Top Bottom