Naomba ufafanuzi kuhusu hizi dawa za kurejesha urijali

Seeker Seeker

JF-Expert Member
Dec 15, 2020
213
298
Habari naomba huu uzi tuelimishane kuhuusu ukosefu wa mbegu za kiume na kutosimamisha vizuri, kunaweza leta ukosefu wa kupata mtoto kwa Wanaume.

Leo kuna Rafiki yangu kaenda Kwenye herbal Clinic hizi , akaambiwa atapewa dawa ,ambazo ni supplements nyingne ya kurejesha urijali , Maana hapa alikubuhusu sana kwenye pombe kali 15 years , so nguvu hazipo za kutosha na Nyingine ni za bawasiri ( hapa nikamuuliza una bawasiri?) akasema Doctor ndo alivomshauri , zote zinacost kama 400,000 na za uzazi!

Hili swala la supplements hazitaleta effects baadae mana amesema zipo katika mfumo wa Tabs (vidonge)

Nawasilisha
 
Kuleta madhara ni jambo linalo husisha kilichoko kwenye kidonge na utumiaji wa dozi. Capsule/kidonge ni kifungashio ambacho kina ratio ya dozi husika. Nisawa nakuchota kwenye kijiko cha chai ila kidonge kipo kwa umakini zaidi kwakua hupimwa uzito wa dawa mf. gram 20 hadi 50.

ISIKUPE SHAKA KUONA KIDONGE KIKUBWA NI KILICHOKO KWENYE KIDONGE na kwakua amepewa na dakitari basi hanabudi kuamini na ikiwa hamuamini bora haache maana tiba huanza kwenye imani ( possible effect).

Kumuamini physiciani kutakufanya kufuata dozi kwa umakini na ushauri au masharti ya tiba husika. Kumbuka ulaji na unywaji ndio chanzo pekee cha magonjwa.
Watch what you eat if not soon what you eat will eat you.
Thax 4 ur time.
 
Kuleta madhara ni jambo linalo husisha kilichoko kwenye kidonge na utumiaji wa dozi. Capsule/kidonge ni kifungashio ambacho kina ratio ya dozi husika. Nisawa nakuchota kwenye kijiko cha chai ila kidonge kipo kwa umakini zaidi kwakua hupimwa uzito wa dawa mf. gram 20 hadi 50...
Thank you for your Time brother
 
Habari naomba huu uzi tuelimishane kuhuusu ukosefu wa mbegu za kiume na kutosimamisha vizuri, kunaweza leta ukosefu wa kupata mtoto kwa Wanaume...
Mkuu Hizo Supplements hazitaleta effects lakini haziwezi kumtibia tatizo lake hata kama atatumia kwa muda wa miaka 10 hawezi kupona matatizo yake.Nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia uweze kupona maradhi yako.
 
Back
Top Bottom