Naomba ufafanuzi kuhusu hili tukio la Mbwa kulia sana usiku

Kiminyio 01

JF-Expert Member
Aug 3, 2018
1,351
1,930
Wakuu nimeshtushwa na kilio cha mbwa aliyekua analia katikati ya barabara inayotazamana na ninapoishi. Baada ya kufanya maombi kama dakika tatu hivi nikafungua mlango kutoka nje, nikakutana na harufu ya udi, kisha baada ya muda kidogo sauti ya yule mbwa ikaanza kufifia taratibu.

Baada ya kuingia ndani yule mbwa aliondoka zake. Sasa ninachoshangaa hapa, nyumba za watu wengine mbwa wanapokezana kulia na kubweka kwa nguvu sana tena kwa kufululiza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu nimeshtushwa na kilio Cha mbwa Aliyekua analia katikati ya barabara inayotazamana na ninapoishi,baada ya kufanya Maombi Kama dakika tatu hivi nikafungua mlango kutoka nje,nikakutana na harufu ya udi,kisha baada ya muda kidogo sauti ya yule mbwa ikaanza kufifia taratibu,baada ya kuingia ndani yule mbwa aliondoka zake,sasa nachoshangaa hapa nyumba za watu wengine mbwa wanapokezana kulia na kubweka kwa nguvu sana tena kwa kufululiza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanyama wanaona vitu vingi sana ambavyo mwanadamu wa kawaida hawezi kuviona
 
Na bado umelala (kukaa ndani) mimi kwa ktu kama hiyo ningeenda kwanza nje au sebulen weka sauti ya mziki na kinywaji kwa pembeni afu nackilizia sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni hofu tu mkuu labda,binafsi nimemuachia Mungu jukumu la kunilinda nyakati zote,

Malaika wa Bwana hufanya kituo, Akiwazungukia wamchao na kuwaokoa. ZABURI 34:7


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fanya maombi ya kuvunja roho za giza,kama nusu saa tu ukitamka jina la Yesu na moto wa roho mtakatifu.. kama wapo karibu yaanwatakimbia kama mwizi.

Jaribu kumeditate uone mkuu. Hizi roho zishatupagwa siku nyingi zilishuka na lucifer, so huwa zinatapatapa dunian zikikuta mtu mzembe kwenye motherboard yake zinaingia ili ziitumie.

Sasa we waonyeshe motherboard yako iko fit kwa kusali na jina la Yesu, wakimsikia tu watamkubuka aliyewanyan'ganya funguo kuzimu. Hawatakaa.
 
Fanya maombi ya kuvunja roho za giza,kama nusu saa tu ukitamka jina la yesu na moto wa roho mtakatifu.. kama wapo karibu yaanwatakimbia kama mwizi..

Jaribu kumeditate uone mkuu..hizi roho zishatupagwa siku nyingi zilishuka na lucifer,
so huwa zinatapatapa dunian zikikuta mtu mzembe kwenye motherboard yake zinaingia ili ziitumie.
sasa we waonyeshe motherboard yako iko fit kwa kusali na jina la yesu,wakimsikia tu watamkubuka aliyewanyan'ganya funguo kuzimu..hawatakaa
Amen,shukrani mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom