Naomba ufafanuzi kuhusu hili suala la Youtube Chanel

Exformer

JF-Expert Member
Nov 12, 2018
837
937
Ndugu zangu nimerudi kwenu.

Hivi nikitaka kuwa nina upload video music za wasanii mbalimbali huko kwenye YouTube channel yangu. Je, ni source ipi ni nzuri kwa kuepuka copyright? Je, naweza toa music kwa Instagram ya msanii yeyote na kuiweka kwenye chanel yangu?

Msaada.

Screenshot_20200227-080620.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njia pekee ya kutumia copyrighted music au content yoyote ni kupewa ruhusa na mwenye kazi . Otherwise tumia royalty free music mbona zipo kibaooo tu
 
Youtuber sio kazi rahisi hivo mkuu pambana na hali yako kwa sisi tusio maakufu hii kazi ni ngumu kuliko ugumu wenyewe.
 
Nasema hv kwa sababu nina jamaa yangu yeye kauplod videoz 21 tu na ana subscribe 2000 kwa miez 2
Na yeye anachukua videos ila anafany editing na zinakaaa
Njia pekee ya kutumia copyrighted music au content yoyote ni kupewa ruhusa na mwenye kazi . Otherwise tumia royalty free music mbona zipo kibaooo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom