Hivi hili suala la Google service kutaka permission ya kila kitu...kama storage,sms,storage,sensor,phone,call logs,camera, microphone limekaaje.....na nikisisable hizi permission wananambia your phone will not work properly if you disable this permission. na kila baada ya dakika wanaleta ujumbe.
Anyway kwani kazi ya Google play services ni nini na kwanini wanalia sana ukidisable hizi permission haza ile ya sms. nia yao nini hasa isije kuwa waiba taarifa(mawazo yangu) maana permission zote wanazotaka ni senstive