Naomba ufafanuzi kuhusu hili la SSD katika Computer

chuxxe

JF-Expert Member
Feb 4, 2019
600
361
Habari wanJF,

Nimekuwa nikishagazwa sana na bei ya SSD na ukubwa wake maana nyingi ninazoziona ni GB150 mpaka GB25.

Ila bei yake imechangamka sana je! matumizi yake yapoje au hazijai mapema kama HDD maana naona zina spec ndogo sana
 
Solid state disk ni storage yenye tecnology mpya kwa mfano ina speed kubwa katika kuaccess data na kuready izo data compare na harddisk pia ina shape ndogo compare na harddisk ila kwenye kujaa haraka inategemeana na data zako sio storage tena
 
Kwanza tuelewe zote ni storage. Tofauti ya yake kubwa ipo katika reading of data. Hard disk yenyewe ina disk kwa ndani ambayo inatumia teknolojia ya magnet kuread and write data. Hii disk inakuwa inazunguka kwa kasi sana ili data zisome kwa kasi zaidi. Kukosa kasi kwenye mzunguko wa disk ndivyo inavyokuwa slow kwenye reading ya data.

Kwa upande wa solid state disk yenyewe haina disk kwa ndani ndio maana inaitwa solid state. Kwa maana iyo ssd inatengenezwa katika sysytem ambayo infanyakazi bila kuwa na spin disk au magnet ili kuread and write data.

Kwa upande wa size ya disk zote mbili ni sawa kabisa. Yaani ukiwa na data za gb128 kwenye magnet disk ni sawa na za kwenye solid state disk.

N. B: tofauti ya ufanyaji kazi kati ya zote mbili ambapo ssd ni fasta sana ndio imeleta utofauti wa bei. Yaani ikiwa utacopy data za gb128 kwa pamoja kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine na ikiwa sehemu unazopeleka moja ni ssd na nyingine ni hdd basi mwenye ssd atamaliza mapema zaidi wakati wa hdd akiendelea kusubiri imalize.

.....mtanisamehe kwa uandishi mbovu kwa ambao hamtaweza kuelewa.....
 
oky nimewaelewa mkuu kwaiyo kinachomaniisha apo utofaut ni speed tu nazan cio
 
swali jingne kwa watalaam wa graphics card hiz gtx 750ti na radeam 2gb amd kuna utofauti hapa maana wengi wamekuwa wakisema amd zinakula sana umeme kupita hiz nvidia wakuu
 
Kwanza tuelewe zote ni storage. Tofauti ya yake kubwa ipo katika reading of data. Hard disk yenyewe ina disk kwa ndani ambayo inatumia teknolojia ya magnet kuread and write data. Hii disk inakuwa inazunguka kwa kasi sana ili data zisome kwa kasi zaidi. Kukosa kasi kwenye mzunguko wa disk ndivyo inavyokuwa slow kwenye reading ya data.

Kwa upande wa solid state disk yenyewe haina disk kwa ndani ndio maana inaitwa solid state. Kwa maana iyo ssd inatengenezwa katika sysytem ambayo infanyakazi bila kuwa na spin disk au magnet ili kuread and write data.

Kwa upande wa size ya disk zote mbili ni sawa kabisa. Yaani ukiwa na data za gb128 kwenye magnet disk ni sawa na za kwenye solid state disk.

N. B: tofauti ya ufanyaji kazi kati ya zote mbili ambapo ssd ni fasta sana ndio imeleta utofauti wa bei. Yaani ikiwa utacopy data za gb128 kwa pamoja kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine na ikiwa sehemu unazopeleka moja ni ssd na nyingine ni hdd basi mwenye ssd atamaliza mapema zaidi wakati wa hdd akiendelea kusubiri imalize.

.....mtanisamehe kwa uandishi mbovu kwa ambao hamtaweza kuelewa.....
Kwahiyo mkui hakuna utofauti kati ya SSD 250 GB na HDD ya 250 GB?
 
Kwa size hakuna tofauti yoyote ile. Yaan ukiwa na data za gb 250 uweke kwenye ssd au hdd zote ni sawa. Naona watu wengi wanafikiri ssd sio hdd.. Zote ni hdd tofauti inakuja kwenye utengenezwaji na ufanyaji kazi tuu. Yaani ssd ni solid state, na hdd tulizozoea ni magnet disk.. So kitaalam hapa tunaita tuna solid state hard disk na magnet hard disk.
Hop umepata tena kitu hapa.
 
Aisee nimekupata vyema sana bro
 
oky nimewaelewa mkuu kwaiyo kinachomaniisha apo utofaut ni speed tu nazan cio
Hapana!Ishu siyo speed peke yake.Kuna mambo ya portability,durability,handling cost na kadhalika.SSD ni portable zaidi wakati HDD ni mzigo.SDD haihitaji uangalizi mkubwa ila ukidondosha HDD jiandae kununua nyingine na mambo mengine mengi kama hayo.
 
Oooh! Ila kuna utofauti wa mikanda ya kuchomekea ssd na hdd me ninayo ssd ila nikichomeka haionekani kwenye pc yangu hta kule kwenye mananger siion watu wanadai ssd inachangua mikanda ya kuchomekea au mpk pc pia zinachangua...
 
kingine...
Ukiindosha HDD jiandae kununua nyingine ila unaweza itupa mbali SDD na ukaichukua ikafanya kazi vizuri tu.
Mi natumia zote ila kiukweli SDD iko vizuri PC ndani ya 20sec inakua tayar kwa kufungua app yoyote wakati HDD inakaa almost 45sec-1min kwa upande wangu lakini.
HDD angu imeharibika bana inasoma data slowly na tena kuna muda ina corruptisha windows tu bila sababu... Hivi zinatengenezeka kweli kwa ufanisi ili angalau niokoe data zangu?
 
Kutengenezeka nafaham ni nadra sana, chakufanya unaweza chukua important data ukaweka kweny storage zingine i.e Memory Card au Flash Disk af iyo HDD uitoe uweke nyingine then jaribu kutumia iyo ulioitoa kama external huwa hazizingui sana kama nilivofanya kwangu

NLa!
 
Kwa size hakuna tofauti yoyote ile. Yaan ukiwa na data za gb 250 uweke kwenye ssd au hdd zote ni sawa. Naona watu wengi wanafikiri ssd sio hdd.. Zote ni hdd tofauti inakuja kwenye utengenezwaji na ufanyaji kazi tuu. Yaani ssd ni solid state, na hdd tulizozoea ni magnet disk.. So kitaalam hapa tunaita tuna solid state hard disk na magnet hard disk.
Hop umepata tena kitu hapa.
SSD sio disk, disk ni ile cd inayozunguruka ndani, ssd haipo hivyo.

SSD inatengenezwa na flash memory kama memory card vile,
 
Oooh! Ila kuna utofauti wa mikanda ya kuchomekea ssd na hdd me ninayo ssd ila nikichomeka haionekani kwenye pc yangu hta kule kwenye mananger siion watu wanadai ssd inachangua mikanda ya kuchomekea au mpk pc pia zinachangua...
Si kweli, kama ssd ni mpya itakua haijakuwa assigned bado, fungua tool ya hard disk Inayokuja na windows, I format Kisha ipe jina itatokea kwenye my computer ama this pc.
 
Kutengenezeka nafaham ni nadra sana, chakufanya unaweza chukua important data ukaweka kweny storage zingine i.e Memory Card au Flash Disk af iyo HDD uitoe uweke nyingine then jaribu kutumia iyo ulioitoa kama external huwa hazizingui sana kama nilivofanya kwangu

NLa!
Me yangu...naisi imekufa basi...
 
Si kweli, kama ssd ni mpya itakua haijakuwa assigned bado, fungua tool ya hard disk Inayokuja na windows, I format Kisha ipe jina itatokea kwenye my computer ama this pc.
Ooooh! Kwaiyo mkuu kuhusu swala la kuchagua mikanda si kwer sio..
 
SSD sio disk, disk ni ile cd inayozunguruka ndani, ssd haipo hivyo.

SSD inatengenezwa na flash memory kama memory card vile,
Bora kabisa hizi SSD make haya ma HDD yanazingua sana, yanakufa hovyo hapa moja limekufa nmepoteza na data zangu nyingi sana..
 
Back
Top Bottom