Naomba ufafanuzi kuhusu hili la ndege Tausi

Alvah

Member
May 20, 2020
54
25
Baada ya Rais JPM kukabidhi ndege Tausi kwa Wastaafu Kikwete, Mkapa, Mwinyi, Na Mama Maria.

Nimejiuliza hivi ndege Tausi analiwa? Au ni mapambo tu?

Lakini pia Mtu binafsi anaruhusiwa kumiliki huyu ndege? Nimeuliza maana Rais amewakabidhi hati ya umiliki kwa ndege hao.

JPEG_20200530_100051_1647624091.jpg
 
Hiyo ni nyara ya selikari kaa nayo mbali, lakin pia tausi analiwa na nyama yake ni kama kanga.
 
Analiwa Ila Kwa Sheria Ya Tanzania Hiyo Ni Nyara Yaani Kuwa Nayo Lazima Upate Kibari
 
Back
Top Bottom