Naomba ufafanuzi kuhusu hili la Laptop za mtumba

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,762
24,181
wakuu kuna jamaa ametangaza kuwa anauza laptop za mtumba picha hapo chini. Je, zinaweza kuwa na ubora? ..kwa wazoefu mnisaidieView attachment 1642779View attachment 1642780
IMG-20201205-WA0056.jpg
 
Hizo computer zote ni model za zamani sana. Yaani miaka ya 2005 hadi 2007.

Hata kama amebadilisha processor hazitakuwa effective. Ingawa bei ni sawa na zilivyo ila kama unaweza jiongeze ili upate mtumba wa miaka ya karibuni.
 
Unaonaje ukamsaidia kununua mkuu akakuachia ya maji? Me mwenyew natamani ninunue pc mwakani ila elimu ya kununulia ni tatizo.
 
Unaonaje ukamsaidia kununua mkuu akakuachia ya maji? Me mwenyew natamani ninunue pc mwakani ila elimwu ya kununulia ni tatizo.
Sidhani kama tatizo la mtoa mada elimu ya hizo device bali Pesa maana hata mimi nazijua simu vibaya sana ila nina Tecno N2
 
Hizo computer zote ni model za zamani sana. Yaani miaka ya 2005 hadi 2007.

Hata kama amebadilisha processor hazitakuwa effective. Ingawa bei ni sawa na zilivyo ila kama unaweza jiongeze ili upate mtumba wa miaka ya karibuni.
Shukran mkuu
 
Ingekuwa vizur Kama angeweka specification zote Kama aina ya processor , generation ya computer , speed ya processor
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom