Naomba ufafanuzi kuhusu hili la kuundiwa tume baada ya kufukuzwa kazi

Man juga

New Member
Apr 1, 2021
1
0
Naomba kupewa ufafanuzi.

1) mwajiri akikusimamisha kazi anatakiwa aunde tume ndani ya siku ngap? Na asipo unda tume?

2) Je, ni halali kwa mwajiri kumjibu mtumishi majibu ya chargesheet au majibu yaende kwenye tume?
 
Kwanza mwajiri anavyokufungulia shitaka huw anapeleka kwenye Tume maalum ambayo inasimamia kesi /maswala ya mashtaka katk kada yako

Anavyopeleka shtaka ni lazm awe ameambatanisha na ushahidi wa wa Hoja /kesi yako

Tume huudwa na hiko kitengo hiko kinachofatilia shitaka lako na Tume hufany ufatialiaji si zaidi ya siku 90.
.
 
Back
Top Bottom