Naomba ufafanuzi kuhusu hili la kondo la uzazi

El nino jr

Member
Aug 7, 2014
66
24
Kondo la uzazi kuwa mbele badala ya nyuma je kitaalam hii imekaaje na mjamzito anaweza kujifungua salama yy na mtt wakawa salama
 
Kondo limetoka kabla ya Mtoto???? Na mtoto kabakije ndani sasaa..??? Yani nashindwa kuelewa hapo sema anyway kondo likitoka maana ake mtoto ndani hayupo salama tena lazima aondolewe kwa njia ya operation kama njia ya kupush itashindikana.
 
kondo la uzazi kuwa mbele means kondo limetangulia ndio mtoto anafatia ambapo ni ngumu kuzaa kawaida hapo op muhimu ila kwanza mpate ushaur wa daktari zaidi kuliko huku mitandaoni

cc rikiboy
 
Mpo kwenye hatari sana, nashauri ulog off then nendeni hospital.
 
Back
Top Bottom