Naomba ufafanuzi kuhusu gari aina ya Subaru Legacy

B I N A M U

JF-Expert Member
Apr 7, 2015
1,495
2,393
Jamani nimekuwa kwenye vitz (cc 990) yangu kwa miaka kibao ni gari ambayo imenipokea vizuri sana kwenye ulimwengu wa kumiliki magari (kwa kijana kama ndio kwanza unaingia kwenye ulimwengu wa magari vitz hutojuta).

Sasa bhana nimepata chochote kitu nataka ku upgrade na recommended subaru legacy yenye turbo nimeipenda sana. Msaada naomba mwenye kuijua vizuri kunichambulia gari hii.

1617186013486.png

Subaru Legacy
 
Jamani nimekuwa kwenye vitz (cc 990) yangu kwa miaka kibao ni gari ambayo imenipokea vizuri sana kwenye ulimwengu wa kumiliki magari (kwa kijana kama ndio kwanza unaingia kwenye ulimwengu wa magari vitz hutojuta) sasa bhana nimepata chochote kitu nataka ku upgrade na recommended subaru legacy yenye turbo nimeipenda sana. Msaada naomba mwenye kuijua vizuri kunichambulia gari hii
Bro Subaru itakusumbua spare zake gharama. Baki kwenye Toyota Mzee, Bora umiliki hata premio
 
Jamani nimekuwa kwenye vitz (cc 990) yangu kwa miaka kibao ni gari ambayo imenipokea vizuri sana kwenye ulimwengu wa kumiliki magari (kwa kijana kama ndio kwanza unaingia kwenye ulimwengu wa magari vitz hutojuta) sasa bhana nimepata chochote kitu nataka ku upgrade na recommended subaru legacy yenye turbo nimeipenda sana. Msaada naomba mwenye kuijua vizuri kunichambulia gari hii
Hiyo kitaalaam tunaita umepanda kiuchum si ndiyo kaka sasa we angalia nunua hiyo subaru nashaur vitz usiiuze itakuja kukusaidia ukikwama service ya subaruuu
 
Kuna jamaa yangu analo naonaga linasomaga 6-7 km/l likichanganya speed linafika 8km/l.

Difference lazma ui feel mwamba yani toka 16km/L mpaka 8Km/L safari za sheli za hapa na pale lazima.
almost twice ya vitz
 
Jamani nimekuwa kwenye vitz (cc 990) yangu kwa miaka kibao ni gari ambayo imenipokea vizuri sana kwenye ulimwengu wa kumiliki magari (kwa kijana kama ndio kwanza unaingia kwenye ulimwengu wa magari vitz hutojuta).

Sasa bhana nimepata chochote kitu nataka ku upgrade na recommended subaru legacy yenye turbo nimeipenda sana. Msaada naomba mwenye kuijua vizuri kunichambulia gari hii.

View attachment 1739405
Subaru Legacy
Chukua hiyo subaru ila vitz usiiuze itakuwa inakusave siku ukiipiga service au kama hela ya mafuta imebaki kidogo
 
Back
Top Bottom