Naomba ufafanuzi kuhusu gari aina ya Mazda Atenza 2013 CC 2180

lucasm00

Member
Oct 2, 2020
40
95
Habari wakuu..! Naomba mwenye uzoefu na hii gari kwa ujumla naoona imekaa poa ata kodi yake ipo vizuri.

Screenshot_20210915-095826_Chrome.jpg
Screenshot_20210915-095358_UC%20Browser.jpg
 

KANYEGELO

JF-Expert Member
Nov 12, 2019
1,087
2,000
Hizi kwa sasa kenya wametokes kuzielewa sana ,imekuwa ndio sare ya Taifa ni gari nzuri sana hasa ukipata yenye engine ya dizel

Upande wa spare kwa sasa usihofu uzur engine spare parts zina share na mazda cx 5 ,

Ni gari yenye power na inautulivu mkubwa sana barabarani

Umefanya chaguo sahihi ,achana na manazi wa Toyota

sent from HUAWEI
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom