Naomba ufafanuzi kuhusu Gari aina ya Isuzu Bighoun

Halitaki shida
Halitakj safari ndefu
Ni nyanya sana
Lina consuption mbaya ya mafuta
Halitulii barabarani
Sio gari imara kabisa..nakushauri achana nalo
Halitaki shida
Halitakj safari ndefu
Ni nyanya sana
Lina consuption mbaya ya mafuta
Halitulii barabarani
Sio gari imara kabisa..nakushauri achana nalokuu

Halitaki shida
Halitakj safari ndefu
Ni nyanya sana
Lina consuption mbaya ya mafuta
Halitulii barabarani
Sio gari imara kabisa..nakushauri achana nalo
Mkuu naona wewe hujawahi kumiliki wala huijui vizuri BIGHORN. Mimi ninayo model ya 1996 engine ya 4JG2 AT mwaka wa nane sasa na katika magari ambayo Japan walitengeneza kwa uimara kabisa ni hili. Halibagui barabara na limetulia sana barabarani. Mwanzoni kulikuwa na changamoto ya spare parts zake lakini kwa sasa zipo japo kwa bei ya juu kidogo. Ni gari ngumu na nzito pengine mafundi wabovu ndo wanaharibu magari ama ubahili wa mtu kutofanya service ama kutoweka oil original
 
model hii hainaga shida sana ukizingatia service.. Model kuanzia 1998 zina 4jx1 uwe na akili timamu na mda kifanya i move on
 
Kuna mke wa boss wangu miaka kama sita iliyopita wahuni walimshikisha Bighorn kwa bei chee, ilo gari kila siku lilikuwa linaharibika , mara egine ikipona gear box mara fuel pump , likaanza kunywa mafuta kama jini , alitumia pesa hadi akili ikamkaa sawa lakini halikupona akaliingiza sokoni hata wa kuulizia bei hakumuona kwa sasa amelipaki tu home kwake .
 
Kuna mwanamama mmoja nadhani ni mke wa banyanga, anayo iyo gari nadhani mwaka wa saba sasa!

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom