Naomba ufafanuzi kamati kuu ya ccm kwa mujibu wa tovuti yao

Jatropha

JF-Expert Member
Apr 9, 2009
1,151
199
Kwa mujibu wa tovuti ya CCM hadi hii leo majina ya wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM ni haya yafuatayo:-

WAJUMBE WA KAMATI KUU MPYA YA CCM KWA MUJIBU WA TOVUTI YA CCM.

1. Ndugu Kakaya Mrisho Kikwete - Mwenyekiti
2. Ndugu Pius Msekwa - Makamu Mwenyekiti (Bara)

3. Ndugu Amani Abeid Amani Karume - Makamu Mwenyekiti(Zanzibar)

4. Ndugu Wilson Mukama - Katibu Mkuu
5. Capt. (mst) John Zefania Chiligati - Naibu Katibu Mkuu (Bara)
6. Ndugu Vuai Ali Vuai - Naibu Katibu Mkuu (Zanzibar)
7. Dr. Ali Mohamed Shein - Mjumbe
8. Ndugu Edward Ngoyai Lowassa - Mjumbe
9. Ndugu Shamsi Vuai Nahodha - Mjumbe
10. Alhaj Ali Hassan Mwinyi - Mjumbe
11. Ndugu Benjamin William Mkapa - Mjumbe
12. Dr. Salmin Amour - Mjumbe
13. Ndugu John Samwel Malecela - Mjumbe
14. Ndugu Nape Nnauye - Mjumbe
15. Ndugu Mwigulu Mchemba - Mjumbe
16. Ndugu January Makamba - Mjumbe
17. Ndugu Asha Abdallah Juma - Mjumbe
18. Ndugu Abdulrahman Kinana - Mjumbe
19. Ndugu Anna Makinda - Mjumbe
20. Ndugu Pandu Ameir Kificho - Mjumbe
21. Ndugu Anna Abdallah - Mjumbe
22. Ndugu Rostum Aziz - Mjumbe
23.Dr. Mohamed Gharib Bilal - Mjumbe
24. Ndugu Pindi Hazara Chana - Mjumbe
25. Ndugu Andrew Chenge - Mjumbe
26. Dr. Maua Abeid Daftari - Mjumbe
27. Ndugu Samia Suluhu Hassan - Mjumbe
28. Ndugu Mohamed Seif Khatib - Mjumbe
29. Ndugu Haji Omar Kheri - Mjumbe
30 . Dr. Abdallah Omari Kigoda - Mjumbe
31 . Ndugu Abdurahman Kinana - Mjumbe
32 . Ndugu Anne Semamba Makinda - Mjumbe
33. Ndugu Fatuma Said Ali Mchumo - Mjumbe
34 . Ndugu Zakia Hamdan Meghji - Mjumbe
35. Ndugu Omar Yussuf Mzee - Mjumbe
36. Ndugu Emmanuel John Nchimbi - Mjumbe
37 . Ndugu Ali Ameir Mohamed - Mjumbe
38. Ndugu Yussuf Moh’d Yussuf - Mjumbe

http://www.cms.ccmtz.org/index.php?page=535

Naomba mnisaidie ufafanuzi hivi Lowassa, Rostam na Chenmge badi ni wajumbe wa Kamati Kuu mpya ya CCM iliyoko chini ya Katibu Mkuu Wilson Mukama?
 
Ana Makinda ametajwa Mara mbili, je yeye ana umuhimu mara mbili ya wajumbe wengine?

Kama kweli CCM ilijivua Gamba kwa kuwaengua watu watatu tu kwenye sekretariat, je ina maana kuwa LOWASA, ROSATM ba CHENGE siyo magamba? Hao ni watu clean? Hii CCM nia sikio la kufa kabisa.

Please Mod huna haja ya kuhamisha ninachoandika au thread na kuificha mbali si hapa ni JF were we dare to speak openly?

Tovuti ya CCM niliyo ifahamu ni :
http://www.ccmtz.org

Hii yenye CMS (Content Management System) ni open source (Open Source Content Management System - Open Source CMS - CMS PHP - CMS Made Simple) na sina uhakika kama ndiyo sasa Tovuti rasmi au ni changa la macho. Kumbuka kuwa kuna fake websites zinazoanzishwa kwa makusudi ya ya kupotosha?

CCM ina links za matwei yake; yapo matawi ya:

  • Marekani
  • London
  • Moscow
  • Napoli
Kinachonishangaza ni kuwa huko Uingereza kuna tawi la London, Urusi kuna tawi la Moscow, na Italia kuna tawi la Napoli. Kwa nini Marekani kuwe na tawila Marekani badala ya kuwa tawi la Houston? Sehemu nyingine za Marekani hazina huo upuuzi wa kushabikia CCM; Nadhani ni muhimu kwa hao wana CCM wa Houston kupanua mawazo yao na kuacha kujifanya kuwa wanawawakilisha watanzania wote walioko Marekani.
 
Pengine ile mimi niliyoifahamu (siyo hii ya open source yenye CMS ambayo sasa imeongezwa link ghafla) bali hii hapa: Chama Cha Mapinduzi - CCM bado haijawa updated sijui!

Ulevi ni kitu kibaya bro! Bado unatapa tapa tu na kukazania kitu kilicho wazi kuwa hizo domain names mbili in fact zote zina-point kwenye tovuti hiyohiyo moja inayodai kuwa "Web Site Rasmi" ya CCM. This is simply ridiculous bro!
 
Ana Makinda ametajwa Mara mbili, je yeye ana umuhimu mara mbili ya wajumbe wengine?

[/FONT]

Hiyo itakuwa baada ya Anne Makinda kwenda kwenye vyombo vya habari na kusisitiza kuwa jina lake la kwanza ni "Anne" na siyo "Anna". Lakini kwa vile almost kila kitu cha CCM ni sloppy and amateurish, usijeshangaa kwamba since then, kwenye payroll za CCM na Bunge mtu huyohuyo mmoja sasa analipwa mishahara na marupurupu kama watu wawili tofauti.
 
Please Mod huna haja ya kuhamisha ninachoandika au thread na kuificha mbali si hapa ni JF were we dare to speak openly?

Tovuti ya CCM niliyo ifahamu ni :
http://www.ccmtz.org

Hii yenye CMS (Content Management System) ni open source (Open Source Content Management System - Open Source CMS - CMS PHP - CMS Made Simple) na sina uhakika kama ndiyo sasa Tovuti rasmi au ni changa la macho. Kumbuka kuwa kuna fake websites zinazoanzishwa kwa makusudi ya ya kupotosha?

kwanini uandikie mate wakati wino upo. Double click link yako uone nini kitatokea. Ukweli ni kuwa MAFISADI PAPA wamechaguliwa na Halmshauri Kuu ya CCM iliyoketi tar 10 ASprili 2011 kuwa wajumbe wa Kamati Kuu mpya ya CCM.
 
WATANABE ulisema

Code:

Nakubali kwa nini tuandikie mate bofya tuone wewe unaona nini sasa.

OneManArmyMan
Ukaamua kunipa ulevi na ujana, asante.

Naelewa nilichokiandika na nasisitiza tena kuwa wakati naadika pamekuwa na tovuti mbili hewani. (mpya) yenye cms hii hapa: Website Rasmi ya Chama Cha Mapinduzi - CCM na (ya zamani) hii hapa: Chama Cha Mapinduzi - CCM (ambapo the Swahili version iliungwa (redirected) kwenye hiyo mpya. Any way nilihitimisha kwa kueleza wawasiwasi wangu kuwa :

"bado haijawa updated sijui "

Haya sasa tu click tena tuone nani mlevi na ni nani kijana hapa.Maafuu hapatilizwi!
 
Kama Touti hizo hazijawa updated Majna Ya Wilson Mukama, Nap Nnauye na January Makamba yameingiaje na majina ya Yusuph Makamba na wenzie kutokaje?
 
Back
Top Bottom