Naomba ufafanuzi juu ya kozi zifuaazo.........!

hamis ramaah

Member
Jun 10, 2017
45
8
Salaam wakuu?
Natumaini ni wazima
Naomba mnijuze juu ya kozi hizi
~transport and logistic
~iformation technology
~land evaluation
Katika maswala ya priority ya Mkopo, chuo husika, changamoto husika pamoja na ajira.........!
Natumaini
Kupata maelekezo sahihi wakuu
 
Naweza kuieleza hiyo umeandika land evaluation,ambayo kwa usahih inaitwa LMV_land management and valuation inatolewa ARU na vigezo vyake ni watu wa michepuo yote wanaruhusiwa kusoma na ni priority course,inasomwa 4 years.
 
Bt mkuu? Vp kuhusu changamoto zake pia ajira yake INA husu kufanya utendaji wa namna gan??? government sector na private unaweza fanyia kaz?
 
Sina hakika sana kama nitakosea wanaofahamu watanirekebisha tafadhali.
Kwanza inadeal na masuala ya upimaji wa ardhi na vitu vingne vinavyohusiana na ardhi.na ajira am sure weng wanategemea kutoka serikali,kwamb waajiriwe katika halmashauri za wilaya,na mikoa.kuhusu soko sasa nadhani unaweza ukafuatilia uhitaji wa hao watu na ardhi ama maeneo yani ukubwa wa nchi yetu.
 
Naweza kuieleza hiyo umeandika land evaluation,ambayo kwa usahih inaitwa LMV_land management and valuation inatolewa ARU na vigezo vyake ni watu wa michepuo yote wanaruhusiwa kusoma na ni priority course,inasomwa 4 years.
Hiyo course ina hesabu sana ukienda na hkl utakoma
 
mkuu soma kitu ambacho unaona kitakusaidia mbeleni ila usisome kufuata ajira, maana hili linchi halieleweki unaweza kuta mwaka huu priority inakuwa tofauti na miaka miwili mbele, waulize walioenda soma education kisa ajira ilikuwa nje nje watakwambia
 
Ahsante mkuu kwa wazo lako
 
Sina hakika sana kama nitakosea wanaofahamu watanirekebisha tafadhali.
Kwanza inadeal na masuala ya upimaji wa ardhi na vitu vingne vinavyohusiana na ardhi.na ajira am sure weng wanategemea kutoka serikali,kwamb waajiriwe katika halmashauri za wilaya,na mikoa.kuhusu soko sasa nadhani unaweza ukafuatilia uhitaji wa hao watu na ardhi ama maeneo yani ukubwa wa nchi yetu.
Ahsante mkuu nimepata jambo
 
Back
Top Bottom