Naomba ufafanuzi juu ya hili

NEW NOEL

JF-Expert Member
May 21, 2011
863
407
chumba.jpg

Najaribu kutafsiri juu ya hili lililokuwa linaytokea lakini nakosa jibu.
Maswali kibao yananijia:
1. Je huyu binti ni mwalimu wa huyu kijana aliyepiga magoti?
2. Je huyu kijana alikuwa anataka kumkwapua pochi huyu mdada lakini akashtukiwa sasa anaomba msamaha?
3. Je ni mama yake?
4....
5...
 
Karambishwa utamu halafu akamfanyia fujo mume mwenziwe, akabaniwa sasa anapiga magoti kukubali kufanya ubia na jibaba mwenzake!
 
Huyo dada akikubali kumpa papuchi huyo kaka tu kwa jinsi anavyomdhalilisha mble ya watu, lazima kibao kigeuke itakuwa zamu yake kumpigia goti.
 
usiombe kufumaniwa wewe....unaweza kuwa mdogo kuliko piritoni. Niulizeni mimi
 
huyo kaka amekaa tu hapo, dada anapita njia ndio anamuuliza: kaka nini kimekukuta?
huyo jamaa kule nyuma kabisa ndie ana jibu ya maswali yetu yote, anacheki tu.
 
Back
Top Bottom