Naomba ufafanuzi juu ya hali hii

Tmlekwa

JF-Expert Member
Apr 27, 2012
257
236
Kuna hali hua inanitokea mara moja moja ninapokua nashuka kwenye gari nikishika mlango nakua nahis kama nimepigwa short hivi,s0me times hata nikishika kitu chenye asili ya bati.

Je, hii inaweza kua tatizo gan? NB gari haina short yoyote hilo nina uhakika. Pia situmii gar moja kila gar ninalotumia hali hio hutokea na si mara zote hutokea ni mara mojamoja
 
Back
Top Bottom