Naomba ufafanuzi ipi inafaa kwa matumizi kati ya Vits old model na Vits new model

mjumbe22

Member
Dec 9, 2015
38
4
Naomba kuuliza wanajf ipi inafaaa ktk matumizi ya kawaida na uimara wa gari kati ya vits old model na new model.

1599481711817.png

Viz Old Model

1599481800115.png

Vitz New Model

Ukisema "old model" na "new model" unachanganya watu. Vitz zina matoleo mengi, kwangu new model ni 2017, sijui kwako new model unazungumzia za mwaka gani.
 
Kujifanya 'much know' mzee.
Wewe ni limbukeni? Unaishi wapi... Norway?
 
Old ndo safi mzee japo ina shape mbaya.. ila kuna rs hizi zimekaa ki new model zina engine kubwa naona kama hizo ndo safi zaidi..
Ngoja wajuzi waje..
 
Hivi naweza funga engine ya 4 pistons kwenye gear box ya iliyokuwa inatumika na engine ya 3 piston? Kama jibu OK engine used ya 4 piston 1SZ inakwenda Bei gani ikiwa std na je mfumo was umeme ni ule ule including control box ya engine na gear box kuwa zina match? Karibuni wadau
 
Unazungumzia injini ya 1kr au maana ndio yenye piston 3, ukitaka kubadili kuweka 1sz kazi ni kubwa sana maana 1kr ina umeme mwingi sana kuliko 1sz na hapo itabidi ubadili na control box
 
Nimekusoma vyema so ina maana lazima injini itakayofungwa 1SZ 4 piston Cc 1290 iwe na control box yake siyo? Na je Bei zipoje mkuu za injini 1SZ complete na gear box yake kwa used std?
 
Back
Top Bottom