Naomba ufadhili wa nauli kwenda kupiga KURA ni haki yangu

Ikimbu

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
301
32
Wanajamvi naombeni mnisaidie nauli ya kwenda kupiga kura mjini Morogoro kutoka Kilombero.

Mwanachuo hali ni mbaya inaniuma sana kupoteza haki ya kumchagua kiongozi ananifaa kwa ajili ya maendeleo ya Miaka 5.

Kama mtu yupo tayari kunisaidia aniambie nimpe namba ya simu, kwenda na kurudi ni 15,000/= tu.
 
Utawapigia kura kina nani kwa level zote tatu?? Ni muhimu kulielewa hili ili upate msaada...' maana hapa watu na itikadi zao.... naamini utapata wa kukusaidia!!!
 
Mpigie simu lowassa, hela yake iko nje nje na ananjaa ya kura. Halafu wewe kijana badala ya kufata elimu unafata siasa. Hiyo elimu ndio itakutoa kwenye njaa za kuomba wanaume wenzako hela.soma na achana na siasa.
 
Namimi naomba msaada ni mwanafunzi wa chuo cha arusha na nipo dar kwasasa...ntampigia kura magufuli na madiwani wote wa ccm.
 
Hizi njaa ni mbaya, vijana angalieni, msije mkafadhiliwa mpaka mahala pa kulala.
 
Mpigie simu lowassa, hela yake iko nje nje na ananjaa ya kura. Halafu wewe kijana badala ya kufata elimu unafata siasa. Hiyo elimu ndio itakutoa kwenye njaa za kuomba wanaume wenzako hela.soma na achana na siasa.

Magamba mpaka watukane ndo ujue umechangia . Kumbuka huyo ni dent
 
Mimi siyo Mwanasiasa na sitaki kuwa mwanasiasa, isipokuwa Haki yangu kikatiba ya kumchagua kiongozi ninaemtaka ndiyo lengo langu.
 
Plz.onyesha nia nani unaenda kumpigia kura hapo moro.maana me mwenyewe ni wa moro kaka.weka namba za simu
 
Namimi naomba msaada ni mwanafunzi wa chuo cha arusha na nipo dar kwasasa...ntampigia kura magufuli na madiwani wote wa ccm.

yaani we mwanafunzi unasikia kuna mtu anataka kutoa elimu bure bado unataka kumpigia kura asiye na sera ya elimu bure....
 
Wanajamvi naombeni mnisaidie nauli ya kwenda kupiga kura mjini Morogoro kutoka Kilombero.

Mwanachuo hali ni mbaya inaniuma sana kupoteza haki ya kumchagua kiongozi ananifaa kwa ajili ya maendeleo ya Miaka 5.

Kama mtu yupo tayari kunisaidia aniambie nimpe namba ya simu, kwenda na kurudi ni 15,000/= tu.
Mimi si mwana siasa lakini natamani sana mabadiliko ,kama unaniahidi utapigia kura UKAWA niko tayari kulipa hiyo nauli
 
Back
Top Bottom