"Naomba tuzae sitakusumbua kulea." Hii haipo

Wadada wa mjini ndo zao wanaku-approach eti tuzae tu (sperm donor) hasa Wanaume walio kwenye ndoa na angalau unajiweza kiuchumi. So anakuanbia anaomba mzae tu eti hatakusumbua, haipogo hivyo Wakulungwa ukijichanganya ukazaa naye utajutraa.

NB: Kabla Bibie hufanya Risk assessment (Cost-Benefit Analysis) kulingana na kipato chako, hawaji kichwa-kichwa, so kama Huna hela hawa utawasikia kwa wenye hela tu.
NB: siku analianzisha unashangaa hivi huyu si ndo alisema hatanisumbua?
Vipi iliyokaa hivi? 'Nizalie mtoto nitawapa matunzo'
Huu utapeli uko pande zote!
 
Yaaani wanaume ndio tumefikia huku tunaogopa watoto saizi.....hahahahahahaha kweli shetani yupo kazini. Mbona simple tu akitaka mtoto mpe na hakikisha anakua chini ya himaya yako kama hataki asepe...tatizo lenu mnawachekea chekea sana be a man with voice. Mbona babu zenu waliweza....acheni ushoga
Simple eeh!? Hivi unajua gharama za kutunza mtoto hapa mjini? Au unahisi utamchemshia madida siku nzima na kumfunga visepe kama mtoto wa mjomba wako hapo Mgeta?
 
Back
Top Bottom