Auz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2016
- 13,185
- 10,910
Vipi iliyokaa hivi? 'Nizalie mtoto nitawapa matunzo'Wadada wa mjini ndo zao wanaku-approach eti tuzae tu (sperm donor) hasa Wanaume walio kwenye ndoa na angalau unajiweza kiuchumi. So anakuanbia anaomba mzae tu eti hatakusumbua, haipogo hivyo Wakulungwa ukijichanganya ukazaa naye utajutraa.
NB: Kabla Bibie hufanya Risk assessment (Cost-Benefit Analysis) kulingana na kipato chako, hawaji kichwa-kichwa, so kama Huna hela hawa utawasikia kwa wenye hela tu.
NB: siku analianzisha unashangaa hivi huyu si ndo alisema hatanisumbua?
Huu utapeli uko pande zote!