Naomba tuwataje mawaziri na/ au wabunge wa ccm wenye dharau.

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Jun 4, 2013
2,602
408
Kuna wabunge na/au mawaziri wa ccm wenye dharau,kejeli na kebehi kwa watz.Baadhi yao ni:
-muhongo
-kapuya
-pinda
-wassira
-membe
-nkamia
-nk
hawa watu,wanajiona kama miungu watu kana kwamba hata hawawezi kuonja mauti.Poleni sana,kama kuna mtu anaamini kuwa watu hawa wataishi milele acomment "LIVE FOREVER". PIA KUWA MBUNGE NA/AU WAZIRI SIO TALENT,KUMBUKENI UONGOZI NI DHAMANA,Mtu yeyote anaweza kuwa mbunge na/au waziri,kuwa wabunge na/au mawaziri isiwe kigezo cha ninyi kujaa kiburi,kejeli na dharau.Wasijione kuwa wao ni bora kuliko wengine,kuna watu wazuri kuliko wao.Wao sio malaika kuwa hawana mapungufu,pia wao ni binadamu kama binadamu wengine walioumbwa kwa damu na nyama
 
CCM HAIFAI ,mfumo mzima ni wa kuuondoa maana unazalisha viongozi wabovu.
 
Mkuu kama umemsahau
Mwingulu
lusinde na Sofia simba baasi hata hao wengine umewaonea tu
 
we ni kilaza kweli mbona demu wako hujamtaja au yeye hana dharau;mnakosa vya kupost mnaleta utumbo hapa jukwaani
 
naona umeingia choo cha kike,nenda kwenye jukwaa la mapenzi ukaweke mambo ya mademu,kilaza wewe
 
hivi dharau munazijua CDM? Hivi kuna mtu anamshinda Lema,Lissu na Slaa kwa jeuri na dharau{ kama mutajua nn maana ya dharau}?

Afu hili Jf imeingiliwa na vichaa kweli sasa yaani shida tupu aisee.
Ila yote hiyo ni gongo tu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom