• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Naomba tuwataje mawaziri na/ au wabunge wa ccm wenye dharau.

N

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2013
Messages
2,602
Points
0
N

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2013
2,602 0
Kuna wabunge na/au mawaziri wa ccm wenye dharau,kejeli na kebehi kwa watz.Baadhi yao ni:
-muhongo
-kapuya
-pinda
-wassira
-membe
-nkamia
-nk
hawa watu,wanajiona kama miungu watu kana kwamba hata hawawezi kuonja mauti.Poleni sana,kama kuna mtu anaamini kuwa watu hawa wataishi milele acomment "LIVE FOREVER". PIA KUWA MBUNGE NA/AU WAZIRI SIO TALENT,KUMBUKENI UONGOZI NI DHAMANA,Mtu yeyote anaweza kuwa mbunge na/au waziri,kuwa wabunge na/au mawaziri isiwe kigezo cha ninyi kujaa kiburi,kejeli na dharau.Wasijione kuwa wao ni bora kuliko wengine,kuna watu wazuri kuliko wao.Wao sio malaika kuwa hawana mapungufu,pia wao ni binadamu kama binadamu wengine walioumbwa kwa damu na nyama
 
Ciril

Ciril

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2011
Messages
7,722
Points
2,000
Ciril

Ciril

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2011
7,722 2,000

CCM HAIFAI ,mfumo mzima ni wa kuuondoa maana unazalisha viongozi wabovu.
 
M

mangatara

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2012
Messages
14,157
Points
2,000
M

mangatara

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2012
14,157 2,000
Mkuu kama umemsahau
Mwingulu
lusinde na Sofia simba baasi hata hao wengine umewaonea tu
 
U

umla

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Messages
1,167
Points
1,250
U

umla

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2012
1,167 1,250
we ni kilaza kweli mbona demu wako hujamtaja au yeye hana dharau;mnakosa vya kupost mnaleta utumbo hapa jukwaani
 
N

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2013
Messages
2,602
Points
0
N

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2013
2,602 0
we ni kilaza kweli mbona demu wako hujamtaja au yeye hana dharau;mnakosa vya kupost mnaleta utumbo hapa jukwaani
naona umeingia choo cha kike,nenda kwenye jukwaa la mapenzi ukaweke mambo ya mademu,kilaza wewe
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,289
Points
2,000
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,289 2,000
simbachawene, kigoda, pimbi malima
 
D

DEO MAGULYATI

Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
84
Points
0
D

DEO MAGULYATI

Member
Joined Dec 10, 2013
84 0
Chenge tusimsahau tujikumbushe gamba limefika kiunoni mwenye shoka aje alitoe.
 
B

BxAarfa

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2012
Messages
701
Points
0
B

BxAarfa

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2012
701 0
hivi dharau munazijua CDM? Hivi kuna mtu anamshinda Lema,Lissu na Slaa kwa jeuri na dharau{ kama mutajua nn maana ya dharau}?

Afu hili Jf imeingiliwa na vichaa kweli sasa yaani shida tupu aisee.
Ila yote hiyo ni gongo tu
 
Ndikwega

Ndikwega

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Messages
5,815
Points
2,000
Ndikwega

Ndikwega

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2012
5,815 2,000
Magufuli aise, na yule Shog.a Tndwa
 
theki

theki

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2013
Messages
2,725
Points
1,195
theki

theki

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2013
2,725 1,195
Muhongo Hana dharau MZEE wa facts and data
na wewe wa msumbiji nini sasa muhongo ana facts gani yule profesa kaupata kwa kukariri tuu.JK hata sijui alilitoa wapi lijuaji.
 
Mhadzabe

Mhadzabe

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2009
Messages
2,745
Points
2,000
Mhadzabe

Mhadzabe

JF-Expert Member
Joined May 20, 2009
2,745 2,000
Kama hukumtaja LUKUVI basi uzi huu hauna maana.
 
Forum statistics

Threads 1,403,352
Members 531,182
Posts 34,421,130
Top