Naomba tutaje viongozi wa nafasi mbalimbali wa nchi zingine waliopita katika mfumo wetu wa elimu

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
15,893
16,317
Screenshot_20170809-113435.png

Screenshot_20170809-113411.png

Habari zenu ndugu zangu wa JF.

Naomba kama unafahamu kiongozi wa nafasi yoyote wa nchi nyingine mbali na Tanzania aliyewahi kupita katika mfumo wetu wa elimu.

Hii ni katika kutaka kujua mchango wa nchi yetu katika kukuza viongozi wa nchi zingine.

Asanteni.
 
Martin Ngoga Carol - mbunge wa bunge la afrika mashariki toka Rwanda ambae pia amewahi kuhudumu kama naibu mwanasheria mkuu wa nchi hiyo
Pierre Nkurunzinza- Rais wa sasa wa Burundi
 
Back
Top Bottom