Upo sawa kidogo. Ila conflict sio lazima iwe na mtu inaweza kuwa hata within yourself. Hujawahi kusikia mtu anasema nafsi inanisuta kwa kufanya jambo fulani na mara nyingi solution ni kuomba msamaha. Na hiyo internal conflict husababishwa na misunderstanding.binafsi naona yanalandana conflict hutokea kwasababu ya mis understanding,kabla ya conflict huanza mis understanding ni kama process flani.
tofauti nionayo hapo ni kuwa conflict ni kupitiliza haswa kwa kutoelewana means kutupiana ngumi,matusi na vijembe lkn mis understanding huku ni kutoelewana ktk mambo kadhawakadha kabla ya kurushiana ngumi,matusi na vijembe.
binafsi naona yanalandana conflict hutokea kwasababu ya mis understanding,kabla ya conflict huanza mis understanding ni kama process flani.