Namkunda OG
JF-Expert Member
- Nov 17, 2015
- 827
- 1,048
Mmmmmh nini tena mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Put In imenishtua.Mmmmmh nini tena mkuu
Basi chukua hii RC Makonda yuko live TBC akiapishwa kuwa ....... hapo tayari ulisha amka zamani unaongoza homeHizi Kauli Siku hizi zimeshashtukiwa na wana Vijiweni Mkuu hivyo nipe mpya ( latest please )
Umeshtuka nini tena put in si rais Wa urusi au humjuiPut In imenishtua.
Rais ni Putin, huyu ni Put In. ☺Umeshtuka nini tena put in si rais Wa urusi au humjui
Nimeambiwa kuwa kuna Mbinu mbalimbali ila najua hapa Jamvini JamiiForums wapo Watu ambao enzi zao nao ' Walibobea ' ama katika Kuita Ndugu zake wakati wa Kula au Kuitwa Yeye na Mwanafamilia ili akale Chakula. Binafsi huwa nakaa sana Vijiweni hivyo Mwanafamilia wangu huwa akija Kunitaarifu kuwa Chakula kipo tayari huwa anaropoka tu kwanguvu kiasi kwamba huwa najikuta naona Aibu na nawakaribisha Wenzangu Kijiweni ambapo nao huwa hawajui kuwa Kukaribishwa ni Uungwana tu na ukienda kweli Kula ni Ulafi hivyo nao huamka na kwenda Kula nami hivyo najikuta sijashiba au sishibi kabisa.
Leo nataka mbinu ambazo nitakuwa nampa huyu Mwanafamilia wangu ili akiwa anakuja Kunitaarifu pale Kijiweni kuwa Chakula tayari na nikale basi asiwe anasema kwa Nguvu hadi Watu wanasikia na Kung'ang'ania kwenda Kula nami. Ni Ishara gani labda anatakiwa awe ananifanyia ambazo nitakuwa nazijua Mimi na Yeye tu?
Nawasilisha.
We juma weeee
Haya shauri yako
Akiskia hvyo atajua msos tayar