Naomba tupeane mbinu za Kuimuita Mwanafamilia wako aliyeko Kijiweni kuwa Chakula tayari pasipo aje Kula na wale wengine wasijue

master09

master09

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2013
Messages
719
Points
500
master09

master09

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2013
719 500
Hizi Kauli Siku hizi zimeshashtukiwa na wana Vijiweni Mkuu hivyo nipe mpya ( latest please )
Basi chukua hii RC Makonda yuko live TBC akiapishwa kuwa ....... hapo tayari ulisha amka zamani unaongoza home
 
Tumaini The Genius

Tumaini The Genius

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2018
Messages
353
Points
500
Tumaini The Genius

Tumaini The Genius

JF-Expert Member
Joined May 29, 2018
353 500
•Mwenye macho haambiwi tazama!
•Oyaaa Parapanda Limelia
•Brazaa Okwi kapiga hatrick huku
•Baba Nani, njoo uniwashie TV
•Kaka simu yako inaita (balaa ni pale uko nayo mkononi)
•Swetie njoo nikuambie
 
socrstes

socrstes

Senior Member
Joined
Feb 16, 2019
Messages
176
Points
250
socrstes

socrstes

Senior Member
Joined Feb 16, 2019
176 250
Nimeambiwa kuwa kuna Mbinu mbalimbali ila najua hapa Jamvini JamiiForums wapo Watu ambao enzi zao nao ' Walibobea ' ama katika Kuita Ndugu zake wakati wa Kula au Kuitwa Yeye na Mwanafamilia ili akale Chakula. Binafsi huwa nakaa sana Vijiweni hivyo Mwanafamilia wangu huwa akija Kunitaarifu kuwa Chakula kipo tayari huwa anaropoka tu kwanguvu kiasi kwamba huwa najikuta naona Aibu na nawakaribisha Wenzangu Kijiweni ambapo nao huwa hawajui kuwa Kukaribishwa ni Uungwana tu na ukienda kweli Kula ni Ulafi hivyo nao huamka na kwenda Kula nami hivyo najikuta sijashiba au sishibi kabisa.
Leo nataka mbinu ambazo nitakuwa nampa huyu Mwanafamilia wangu ili akiwa anakuja Kunitaarifu pale Kijiweni kuwa Chakula tayari na nikale basi asiwe anasema kwa Nguvu hadi Watu wanasikia na Kung'ang'ania kwenda Kula nami. Ni Ishara gani labda anatakiwa awe ananifanyia ambazo nitakuwa nazijua Mimi na Yeye tu?
Nawasilisha.


mkuu umenikumbusha mbali sanaa..
kipindi hicho nilikuwa mi ni mpenzi wa kucheza draft sana ... basi ile mida ya maakuli ikifika kijiweni chap dogo lazima anipe taarifa tena ndo anikute ndo na skuma kete uaski wapi wee bro kichwa kama ugalitayari na kisha namjibu kwenda uko miguu kama nenda nakuja
 

Forum statistics

Threads 1,305,134
Members 501,635
Posts 31,538,454
Top