Naomba tukusanye CLIPS za aina ya alina lusinde

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
26,167
2,000
katika bunge linaloendelea tumeona wabunge mbalimbali wa CCM wakitetea kuwa zile hela za ESCROW sio za UMMA bali ni za SINGASINGA. sasa ili kuondoa fitna kipindi cha uchaguzi unawawekea wananchi waone jinsi mbunge wao anavyokataa hela za maendeleoa zisije wakat wao hata umeme hawana. na kwa kuanzia tuanze na mwijage kisha lusinde maana majimboni mwao watu wanakufa kwa ukosefu wa dawa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom