Tajiri Mapesa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2020
- 707
- 695
Habarini wakuu naomba tujuzane kozi zenye wahitimu wachache Tanzania ikiwezekana tujuzane na idadi ya wahitimu
Okay,
Inaweza kuwa na wahitimu wangapi kwa makadirio
Wapo wengi tu, kuna sayansi hazina uhitaji mfano botany, biology, physics n.kHivi kuna mtu alisoma science halafu analia njaa hapa mjini?
Washakuwa wengi na ajira zimeyeyuka ghafla baada ya makampuni makubwa yanayowaajiri kuondoka Tanzania.
Wapo wengi sana toka 2015.Hivi kuna mtu alisoma science halafu analia njaa hapa mjini?
Nawaonea huruma walivyokuwa wanakomaa na kujimwambafy na hiyo science yao!Wapo wengi sana toka 2015.
Sisi wengine tulijimwambafy na sayansi tupotupo tu. Ila jamaa yetu kilaza alienda kusoma masuala ya kuchonga madini kama kozi fupi sasa hivi anapesa ya madini balaa.😂😂Nawaonea huruma walivyokuwa wanakomaa na kujimwambafy na hiyo science yao!
Waliosoma Hesabu au IT je?Wapo wengi tu, kuna sayansi hazina uhitaji mfano botany, biology, physics n.k
Kumbe ni wivu?Nawaonea huruma walivyokuwa wanakomaa na kujimwambafy na hiyo science yao!
Wapo wengi tu, kuna sayansi hazina uhitaji mfano botany, biology, physics n.k
Kila mtu na bahat yak, mkuu huwezi somea udaktari ukasema unaweza make moneySisi wengjne tulijimwambafy na sayansi tupotupo tu. Ila jamaa yetu kilaza alienda kusoma masuala ya kuchonga madini kama kozi fupi sasa hivi anapesa ya madini balaa.😂😂
Haya maisha yani acha tu.
Kuna kozi inaitwa Bachelor of Science in Physics
Hivi kuna mtu alisoma science halafu analia njaa hapa mjini?
Tukienda kwenye interview psrs unaweza ukadhani uko peke yako kufika kule mnajikuta mko 200Hivi kuna mtu alisoma science halafu analia njaa hapa mjini?
Bachelor of Science in physics haina deal bongoNuclear Physics namjua mtu mmoja tu.