Naomba tujuzane kozi zenye wahitimu wachache Tanzania

Screenshot_2020-01-04-08-19-54.jpeg
 
Population and development

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kozi ipo bomba sana. Ila kwa Tanzania bado kupata kazi ni kazi nyingine. Haieleweki sawa sawa kwa waajiri na kwa kada zilizopo katika circular ya Utumishi graduate wa Populalion and development hajulikani kama ni Mchumi, Afisa Mipango, au Mtakwimu au Maendeleo ya Jamii n.k
 
Wapo wengi tu, kuna sayansi hazina uhitaji mfano botany, biology, physics n.k
Physics gani hio? Unashindwa hata kuchomelea radio mkuu, kudizaini amplifier uchwara na kuziuza? Kufundisha twisheni vijana wa ADV.kama yupo BSC wa physics mshauri akapige post graduate diploma ya EE mwaka 1 awe msukaji wa umeme majumbani.Hana ada basi aji atach na mafundi mbali mbali ata adapt haraka sana.Physics ni multidisciplinary ni mlango wa kuingia mahaka popote hasa ktk teknolojia. Mimi kama graduate wa physics nasikitika sana kusikia mfizikia anazurura hovyo.Ingia mitandaoni kuna online job za kufundisha watoto wa kiarabu na kichina, tunakwama wapi?
 
Kaka mimi nilikua namaanisha Bachelor of Science in Physics hii haina deal na hawa sio walimu kwasababu hakuna viwanda vya physics Tanzania hiyo ni sawa na Bachelor of Science in biology nayo pia haina deal yenye deal ni Bachelor of Science in chemistry
Kuna maeneo yanawahitaji ili kuwa train katika teknolojia nyingine.Mfano Air craft operator, TBS,jeshi nk hao ni scientist wanaweza Fanya lolote.Physist anaweza fanya kazi kiwandani.Hao wanasoma sana electronics science. Wanasoma computer programming hivyo wanatakiwa wajiongeze katuka practical.Kama umesoma Digital circuit, anakushindaje form four kwenye electronics troubleshooting ! Tatizo kubwa wabongo kujiongeza hatuwezi na hatutaki kuthubutu, kufanya attachment. Ukifuatilia mitandaoni hata USA graduate wa physics wanasumbuka kupata direct employment Ila ulaya kuna research company nyingi.Mfani kwa sasa dunia inahitaji Quantum computer hivyo mfizikia aliebobea ulaya hakosi ajira za utafiti.Sisi hizo research centers zaidi ya vyuo vikuu.Hivyo namshauri mfizikia ajiongeze uwanja wake ni mpana sana ktk ulimwengu wa teknolojia.
 
Back
Top Bottom