Naomba tufahamishe njia mnazotumia kutuma mizigo kutoka China kuja hapa Tanzania

Kuna mambo mawili hapa,
1.Mzigo unaununua mwenyewe kwa njia unazo zijua,ila unataka kuusafirisha kwenda Tanzania.

Hapa ni unawatumia wauzaji address ya wasafirishaji ambao watatumiwa mzigo wako na kukusafirishia.Kuna kusafirisha kwa meli (siku 30+).Hapa kuna kampuni nyingi zinafanya kama Sikent Ocean,GNM cargo,Mapembelo cargo, etc.Hawa wana kucharge kutokana na size ya mzigo (CBM)

Pia unaweza safirisha kwa ndege (wengi siku 7) Wata kuchaji kwa uzito wa mzigo wako.Na kuna mizigo mingine ambayo bei zake haziko determine kutokana na uzito.Mfano simu/laptop etc.Kuna kampuni nyingi tu zinasafirisha kwa njia hii.

2.Unataka kujua mtu/kampuni inayoweza kukununulia na kukusafirishia kwenda Tanzania.

Hapa wasiliana na watu au kampuni either zinazo safirisha mizigo wakununulie au watu/kampuni wanaosaidia kununua mizigo China.Watakufanyia hivo na watakutumia kulingana na njia uliyo amua kuitumia kama ni ndege au meli.
Maelezo yote yametokana na kuwa ni mdau wa hii kazi.Mwenye nyingeza atakusaidia

Hope umepata idea
 
IMG_2757.jpg

wako vzuri sana wapigie kwa namba 0652472486
 
CBM Ni nn
 
Hapana,usafiri wa ndege ndio huwa around Bei hiyo per 1 kg(Sio electronics).Kwa meli 1 CBM inarange 350-450 USD kulingana na ni item gani unasafirisha.kama Spares,shoes,cloth etc.
Ooooh nlisahau dola 13 ni kwa kilo kwenye ndege, ila kwa meli ni 350 mostly ila electronics na heavy machines ni 450
 
Back
Top Bottom