Naomba tu leo na kesho njo kwa mwakasege biafra ujifunze maombi ya kujua hatima ya maisha yako

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Wapo wengi wanaishi maisha yasiyo yao lakini wanahisi hayo ndio maisha walioandikiwa
sio kweli pengine ukutakiwa kuishi nyumba za kupanga pengine ulitakiwa uwe na biashara 'kubwa lakini
leo hii ujui mambo yaliokufanya uwe hivyo na shida zako unaishia kudai hata mama na baba walikuwa hivi
nao uhujui walisemewa nini...kuna mambo mengi yanachangia kufikia hatima ya maisha yako ya sasa
njoo biafra upate neno la mungu ufunguliwe ufahamu kwa nini uko hivyo

nikupe mfano kuna ukoo kila anaezaliwa mwanaume malaya mwanamke kahaba..sasa wakikua wanakuta baba na mamamzao wamekufa na kaugonjwa haka haka wanajipa moyo bana we hii ndio asili yetu ..sio kweli pengine mamana baba ko alilaaniwa
laana ya uzinzi we unakubali kuendeleea nayo kisa baba na mama walikuwa wale wale no wakati wa kujitoa sasa jamani
kuna maombi ukifanya kwa imani na kudhamiria nakwambia shetan anakimbia wanawake wote unaona kama mama zako kama uko na kale kaspirit njoo sasa ufunguliwe sio hayo tu kuna shida nyingi watu wanaishi nazo siso zao lakini awajui jinsi a kujitoa ndio maana wengine kwa kutokuwa na ufahamu wanakimbilia kwa waganga

mungu akupe nguvu uje kinondoni biafra upate neno la ufahamu

Ubarikiwe kwa kutupa mwaliko, leo nitaenda kinondoni. Naamini nitaleta ushuhuda hapa jukwaani. Shime wapendwa tusijitenge na Mungu.. Karibuni nyote na Mungu awabariki

mkuu shukrani! hebu tupe muda kamili ili tuweze ku-tune kwenye radio kwa sisi tulio mbali ya Daslam!

Wapo wengi wanaishi maisha yasiyo yao lakini wanahisi hayo ndio maisha walioandikiwa
sio kweli pengine ukutakiwa kuishi nyumba za kupanga pengine ulitakiwa uwe na biashara 'kubwa lakini
leo hii ujui mambo yaliokufanya uwe hivyo na shida zako unaishia kudai hata mama na baba walikuwa hivi
nao uhujui walisemewa nini...kuna mambo mengi yanachangia kufikia hatima ya maisha yako ya sasa
njoo biafra upate neno la mungu ufunguliwe ufahamu kwa nini uko hivyo

nikupe mfano kuna ukoo kila anaezaliwa mwanaume malaya mwanamke kahaba..sasa wakikua wanakuta baba na mamamzao wamekufa na kaugonjwa haka haka wanajipa moyo bana we hii ndio asili yetu ..sio kweli pengine mamana baba ko alilaaniwa
laana ya uzinzi we unakubali kuendeleea nayo kisa baba na mama walikuwa wale wale no wakati wa kujitoa sasa jamani
kuna maombi ukifanya kwa imani na kudhamiria nakwambia shetan anakimbia wanawake wote unaona kama mama zako kama uko na kale kaspirit njoo sasa ufunguliwe sio hayo tu kuna shida nyingi watu wanaishi nazo siso zao lakini awajui jinsi a kujitoa ndio maana wengine kwa kutokuwa na ufahamu wanakimbilia kwa waganga

mungu akupe nguvu uje kinondoni biafra upate neno la ufahamu

Ok,
Hayo maombi kidogo nina wasiwasi nayo,
Logically kwa matatizo ambayo watanzania tunayo, nlitegemea through maombi haya angalau wengi wetu tungekua na ahueni.
Lakini waumini wengine wamekua na hali mbaya sana kiuchumi (kufilisika) kupitia watu hawa wanaojiita wachungaji.
Tuseme mtu kwa kumuamini mchungaji fulani anaamua kuuza kila kilicho chake chenye thamani na kutoa sadaka kwa mchungaji huyo.
Sisi wote ni mashahidi wa sauti zilizowahi kuwekwa hapa zikiwahusisha wachungaji maarufu tu, tena wenye wafuasi wengi tu ambao walikua wakipanga mipango michafu ya kuangamizana wao kwa wao.
Bado pia kuna habari ambazo hazijawekwa wazi zaidi kua wengi wa viongozi wa dini wakiwemo wachungaji hawa wanajihusisha na biashara haramu ya madawa ya kulevya.
Mi bana na hawa jamaa mbalimbali sana tu!!
Submitted

hakuna chochote wajinga ndio waliwao, zindukeni alianza kakobe, akafuata mzee wa upako, Ngwajima bado tu mnaliwa?

Kumbe Pdidy ni mpendwa katika bwana!,...... okey mkuu Rafiki yangu Pastor Jamal Hussein alinialika nije hapo mkuu ila muda umegomba kidogo.

ubarikiwe,
mimi napenda sana mahubiri ya mwakasege lakini niko mbali so nawish kama ningekuwepo ningekuja
mtumishi wa mungu huwa anamahubiri mazuri kweli, mnaoweza mtume hata kwenye you tube tusikilize,
mungu akubariki wewe utakayetuma..

Wapo wengi wanaishi maisha yasiyo yao lakini wanahisi hayo ndio maisha walioandikiwa

sio kweli pengine ukutakiwa kuishi nyumba za kupanga pengine ulitakiwa uwe na biashara 'kubwa lakini

leo hii ujui mambo yaliokufanya uwe hivyo na shida zako unaishia kudai hata mama na baba walikuwa hivi

nao uhujui walisemewa nini...kuna mambo mengi yanachangia kufikia hatima ya maisha yako ya sasa

njoo biafra upate neno la mungu ufunguliwe ufahamu kwa nini uko hivyo

nikupe mfano kuna ukoo kila anaezaliwa mwanaume malaya mwanamke kahaba..sasa wakikua wanakuta baba na mamamzao wamekufa na kaugonjwa haka haka wanajipa moyo bana we hii ndio asili yetu ..sio kweli pengine mamana baba ko alilaaniwa

laana ya uzinzi we unakubali kuendeleea nayo kisa baba na mama walikuwa wale wale no wakati wa kujitoa sasa jamani

kuna maombi ukifanya kwa imani na kudhamiria nakwambia shetan anakimbia wanawake wote unaona kama mama zako kama uko na kale kaspirit njoo sasa ufunguliwe sio hayo tu kuna shida nyingi watu wanaishi nazo siso zao lakini awajui jinsi a kujitoa ndio maana wengine kwa kutokuwa na ufahamu wanakimbilia kwa waganga

mungu akupe nguvu uje kinondoni biafra upate neno la ufahamu

Kaka nimebarikiwa mno, nitahudhuria hadi mwisho jumapili. Usikute we ulikuwa umekaa jirani yangu ila kwa haya majina yetu humu jukwaani mmh.! Shime Wandugu Kuna siri Ya baraka nyingi mno, buy time and be there from 1500hrs, come all.!

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom