Pia wakala wa M pesa, Aitel money, Tigo pesa na Halopesa!!1. Idara (department) mfano idara ya usalama wa taifa
2. Kurugenzi mfano kurugenzi ya mawasiliano ikulu
3. Mamlaka (authority) mfano mamlaka ya bandari
5. Taasisi mfano taasisi ya elimu ya watu wazima
6. Tume mfano tume ya uchaguzi
7. Baraza mfano baraza la michezo
8. Wakala mfano wakala wa vipimo
Vigezo vipi vinatumika kutofautisha na mtumizi yake
Council Mfano National Council for Tech Education1. Idara (department) mfano idara ya usalama wa taifa
2. Kurugenzi mfano kurugenzi ya mawasiliano ikulu
3. Mamlaka (authority) mfano mamlaka ya bandari
5. Taasisi mfano taasisi ya elimu ya watu wazima
6. Tume mfano tume ya uchaguzi
7. Baraza mfano baraza la michezo
8. Wakala mfano wakala wa vipimo
Vigezo vipi vinatumika kutofautisha na mtumizi yake
Tume ya uchaguzi bado ipo operational, inaendelea kuratibu mambo kadha wa kadha yanayohusu uchaguzi. Tume hii haijavunjwa wala haijapumzika. Majukumu yanayofanywa na tume hiyo ni pamoja na kuratibu chaguzi ndogo, kufanya marekebisho ya daftari la kudumu la wapiga kura, kugawa maeneo ya uwakilishi (majimbo) n.k n.kHata hyo tume ya vyuo vikuu inaweza ikavunjwa Kama itafika mahali itakuwa haihitajiki Tena the same kwenye tume ya madini nk
Tume sio kitu Cha kudumu inaweza ikafanya kazi hata miaka kumi lakini sio kitu Cha kudumu Kama taasisi
Hicho nduo nilimaanisha
Tume ya uchaguzi , je uchaguzi ukiisha inafanya kazi gani. Naomba unieleweshe
Karibu sana kama una mchango ambao ni majibu sahihi. Vinginevyo nawewe umeamua kujiunga na hao uliotanabaisha kama "wanademka"Nimesoma ila hamna aliyetoa jibu mujarabu wote mnademka tu
Tofauti ipo
Kila chombo kinaendeshwa kisheria
Na kinaanzishwa kisheria na sheria hazifanani, pia majukumu ya Kila chombo kulingana na sheria zilizowekwni tofauti
Safi sana. Hutoi gari bandarini(TPA) mpaka umuone mzee TRA. Vinginevyo litaozea kule. The authority to control certain activity regarding specific issue (large scale) given by the Government (Power)Mamlaka.. authority.. power... nguvu... mamlaka ya mapato... lazma ulipe kodi..
Nimepata kitu ngoja waje wengne chiefMkuu, katika ufuatiliaji wangu nimekuja kugundua haya mambo yana mkanganyiko mkubwa sana na hakuna clear difference baina ya hayo majina ya hivyo vyombo vya kiserikali.
Ukitaka kuweka utofauti, kuna sehemu nyingine utakutana na kukiukwa kwa ile tofauti (contradiction).
Kwa mawazo yangu ni kwamba, hayo maneno sio kwamba yana maana moja, la hasha. Ila yanatumika ili angalau kuleta utofauti baina ya vyombo mbalimbali vya serikali maana viko vingi sana (isingependeza kila chombo kuitwa taasisi).
Mfano, ukisema kurugenzi ni chombo ambacho kinaongozwa na mkurugenzi, unakuja kugundua kwamba kuna mamlaka, wakala au taasisi zinaongozwa na wakurugenzi pia (contradiction).
Nizungumzie TAASISI kidogo. (Hoja yako namba 5).
Kwa ufahamu wangu, najua kuna taasisi za aina mbili, kuna zinazoitwa "institutes (au institutions)" na zile zinazoitwa "Bureau". Sasa je kuna tofauti gani kati ya hizi "taasisi mbili"
Mifano:
Taasisi Bureau
NBS (Takwimu)
TBS (Viwango)
PCCB (Rushwa)
N.k
Taasisi Institute
TARI (Utafiti kilimo)
NIMR (Utafiti afya)
JKCI (Taasisi ya Moyo J. Kikwete)
MOI (Taasisi ya mifupa)
TIE (Elimu)
N.k
Sasa kama hata kwenye taasisi tu kuna mkanganyiko, itakuaje huko kwingine?
Umelata hoja nzuri, ngoja wajuvi na wajuzi watutoe tongotongo
Semenya wa Ukaldayo unakimbia kwenda wapi? Ebu rudi faster huku.Nitarudi.